Tuesday, July 28, 2009
HII NI PANDE ZA TPA
Hi hali halisi ya maeneo ya round about ya bandari kueleke mjini na kariakoo jinsi inavyokua na msongamano wa foleni mida ya asubuhi...wakati mwingine hutmuia hata masaa mawili mpaka matatu kufika mjini kwa ajili ya foleni hii, amabayo kwa kawaida ni kama dakika 5 tu kwa kariakoo na 10 kwa waendao posta...
Kutokana na ofisi nyingi kuwa Dar es slaam nadhani ingekuwa ni muda muafaka kwa serikali kutoendelea kujenga majengo makubwa jijini Dar na hivyo ingeelekea nguvu zake katika kuujenga mji wa Dodoma amaba ndo makao makuu ya nchi..
Hii itasaidia kupunguza mrundikano wa magari na watu jijini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment